sw_tn/luk/03/09.md

508 B

Shoka limeshawekwa dhidi ya mzizi wa miti

Shoka ambalo liko tayari kukata mizizi ya mti ni mfano wa adhabu iliyo karibu kuanza. Inaweza pia kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Mungu ni kama mtu aliyeweka shoka lake dhidi ya mzizi wa miti."

Kila mti usiozaa tunda jema hukatwa chini

Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hukata chini kila mti usiozaa tunda jema."

Kutupwa motoni

"Moto" pia ni mfano wa adhabu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. AT: "Hulitupa ndani ya moto"