sw_tn/luk/03/04.md

24 lines
965 B
Markdown

# Maelezo kwa Ujumla
Mwandishi, Luka, kanukuu mstari kutoka nabii Isaya tokana na Yohana Mbatizaji.
# Kama ilivyoandikwa...nabii
Misitari 4-6 ni nukuu kutoka Isaya. Ingeweza kuelezewa katika hali ya kutenda. AT: "Hii ilitokea kama Isaya alivyokuwa ameandika katika kitabu chake" au "Yohana aliyatimiza maneno ambayo Isaya alikuwa ameyaandika katika kitabu chake."
# Sauti ya mtu inapazwa nyikani
Hii inaweza kudhihirishwa kama sentensi. NI: "Sauti ya mmoja inapazwa ikisikika katika nyika" au "Wanasikia sauti ya mtu fulani inapazwa katika nyika"
# Itengenezeni njia ya Bwana ... tengeneza mapito kwa unyoofu
Kauli hizi mbili kimsingi ni kitu kile kile.
# Tayarisha njia ya Bwana
"Andaa njia kwaajili ya Bwana." Kufanya hivi kunawakilisha kujiandaa kusikia ujumbe wa Bwana anapokuja. Watu hufanya hivi kwa kutubu dhambi zao. NI: "Andaa kusikia ujumbe wa Bwana anapokuja" au "Tubu na uwe tayari kwaajili ya ujio wa Bwana"
# njia
"pa kupita" au "barabara"