sw_tn/luk/03/04.md

965 B

Maelezo kwa Ujumla

Mwandishi, Luka, kanukuu mstari kutoka nabii Isaya tokana na Yohana Mbatizaji.

Kama ilivyoandikwa...nabii

Misitari 4-6 ni nukuu kutoka Isaya. Ingeweza kuelezewa katika hali ya kutenda. AT: "Hii ilitokea kama Isaya alivyokuwa ameandika katika kitabu chake" au "Yohana aliyatimiza maneno ambayo Isaya alikuwa ameyaandika katika kitabu chake."

Sauti ya mtu inapazwa nyikani

Hii inaweza kudhihirishwa kama sentensi. NI: "Sauti ya mmoja inapazwa ikisikika katika nyika" au "Wanasikia sauti ya mtu fulani inapazwa katika nyika"

Itengenezeni njia ya Bwana ... tengeneza mapito kwa unyoofu

Kauli hizi mbili kimsingi ni kitu kile kile.

Tayarisha njia ya Bwana

"Andaa njia kwaajili ya Bwana." Kufanya hivi kunawakilisha kujiandaa kusikia ujumbe wa Bwana anapokuja. Watu hufanya hivi kwa kutubu dhambi zao. NI: "Andaa kusikia ujumbe wa Bwana anapokuja" au "Tubu na uwe tayari kwaajili ya ujio wa Bwana"

njia

"pa kupita" au "barabara"