sw_tn/luk/02/41.md

943 B

Kauli Unganisha

Wakati Yesu akiwa na umri wa mika 12, huenda Yerusalemu pamoja na familia yake. Wakati akiwa pale, anauliza na kujibu maswali kwa waalimu hekaluni.

Wazazi wake walikwenda ... sherehe ya Pasaka

Haya ni maelezo ya nyuma. (angalia:

Wazazi wake

"Wazazi wa Yesu"

wakapanda tena

Yerusalemu ulikuwa juu ya mlima zaidi kuliko ya maeneo mengine, hivyo wilikuwa kawaida kwa Waisreli kusema wanapanda kwenda huko Yerusalemu.

kwa muda wa kidesturi

"muda wa kawaida" au "kama walivyofanya kila mwaka"

baada ya kubaki kwa siku nyingi kwaajili ya sherehe

"Wakati wote wa kusherehekea sikuu ulipokwisha" au "Baada ya kusherehekea sikukuu kwa siku zote zilizotakiwa"

sikukuu

Hili ni jina lingine la kwaajili ya sherehe ya Pasaka, sababu ilihusisha kula chakula cha sherehe.

Walidania

"walifikiri"

walisafiri safari ya siku nzima

"walisafiri siku moja" au "walikwenda umbali wa kama watu wanatembea siku moja"