# Kauli Unganisha Wakati Yesu akiwa na umri wa mika 12, huenda Yerusalemu pamoja na familia yake. Wakati akiwa pale, anauliza na kujibu maswali kwa waalimu hekaluni. # Wazazi wake walikwenda ... sherehe ya Pasaka Haya ni maelezo ya nyuma. (angalia: # Wazazi wake "Wazazi wa Yesu" # wakapanda tena Yerusalemu ulikuwa juu ya mlima zaidi kuliko ya maeneo mengine, hivyo wilikuwa kawaida kwa Waisreli kusema wanapanda kwenda huko Yerusalemu. # kwa muda wa kidesturi "muda wa kawaida" au "kama walivyofanya kila mwaka" # baada ya kubaki kwa siku nyingi kwaajili ya sherehe "Wakati wote wa kusherehekea sikuu ulipokwisha" au "Baada ya kusherehekea sikukuu kwa siku zote zilizotakiwa" # sikukuu Hili ni jina lingine la kwaajili ya sherehe ya Pasaka, sababu ilihusisha kula chakula cha sherehe. # Walidania "walifikiri" # walisafiri safari ya siku nzima "walisafiri siku moja" au "walikwenda umbali wa kama watu wanatembea siku moja"