sw_tn/luk/02/41.md

36 lines
943 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli Unganisha
Wakati Yesu akiwa na umri wa mika 12, huenda Yerusalemu pamoja na familia yake. Wakati akiwa pale, anauliza na kujibu maswali kwa waalimu hekaluni.
# Wazazi wake walikwenda ... sherehe ya Pasaka
Haya ni maelezo ya nyuma. (angalia:
# Wazazi wake
"Wazazi wa Yesu"
# wakapanda tena
Yerusalemu ulikuwa juu ya mlima zaidi kuliko ya maeneo mengine, hivyo wilikuwa kawaida kwa Waisreli kusema wanapanda kwenda huko Yerusalemu.
# kwa muda wa kidesturi
"muda wa kawaida" au "kama walivyofanya kila mwaka"
# baada ya kubaki kwa siku nyingi kwaajili ya sherehe
"Wakati wote wa kusherehekea sikuu ulipokwisha" au "Baada ya kusherehekea sikukuu kwa siku zote zilizotakiwa"
# sikukuu
Hili ni jina lingine la kwaajili ya sherehe ya Pasaka, sababu ilihusisha kula chakula cha sherehe.
# Walidania
"walifikiri"
# walisafiri safari ya siku nzima
"walisafiri siku moja" au "walikwenda umbali wa kama watu wanatembea siku moja"