sw_tn/luk/02/15.md

28 lines
707 B
Markdown

# Ikawa
kauli hii ilitumika kuonesha kubadili kwa masimulizi kwenda kwenye ambacho wachungaji walifanya baada ya malaika kuondoka.
# kutoka kwao
"kutoka kwa wachungaji"
# Baina ya mtu na mtu
"kwa mmoja na mwingine"
# ngoja nasi ... kwetu
Tangu wachungaji walikuwa wanazungumza mmoja na mwingine, lugha ambayo inamtindo wa kuhusisha kwa "sisi" na "nasi" tumia mtindo wa kuhusisha hapa.
# ngoja nasi
"nasi tuta"
# jambo hili ambalo limetokea
Hii inarejea kuzaliwa kwa mtoto, na siyo kuonekana kwa malaika.
# kalala katika kihori cha kulishia
Hii ilikuwa aina fulani ya boksi au kitu ambacho watu waliweka nyasi kavu au chakula kwaajili ya wanyama kula. Angalia jinsi ilivyotafsiriwa katika 2:6.