sw_tn/luk/02/15.md

707 B

Ikawa

kauli hii ilitumika kuonesha kubadili kwa masimulizi kwenda kwenye ambacho wachungaji walifanya baada ya malaika kuondoka.

kutoka kwao

"kutoka kwa wachungaji"

Baina ya mtu na mtu

"kwa mmoja na mwingine"

ngoja nasi ... kwetu

Tangu wachungaji walikuwa wanazungumza mmoja na mwingine, lugha ambayo inamtindo wa kuhusisha kwa "sisi" na "nasi" tumia mtindo wa kuhusisha hapa.

ngoja nasi

"nasi tuta"

jambo hili ambalo limetokea

Hii inarejea kuzaliwa kwa mtoto, na siyo kuonekana kwa malaika.

kalala katika kihori cha kulishia

Hii ilikuwa aina fulani ya boksi au kitu ambacho watu waliweka nyasi kavu au chakula kwaajili ya wanyama kula. Angalia jinsi ilivyotafsiriwa katika 2:6.