sw_tn/luk/02/13.md

16 lines
570 B
Markdown

# idadi kubwa, ya jeshi la mbinguni
Neno "jeshi la mbinguni" hapa itarerejea kwenye jeshi halisi la malaika, au inawezakuwa sitiari kwaajili kikundi cha malaika kilicho andaliwa. NI: "kundi kubwa la malaika kutoka mbinguni." (UDB)
# kumsifu Mungu
"kumpa sifa Mungu"
# Utukufu kwa Mungu juu sana
Maana zinazowezekana ni 1) "Toa heshima kwa Mungu aliye mahali pa juu sana" au 2) "Toa heshima ya juu sana kwa Mungu."
# hapa duniani iweze kuwa amani kati ya watu ambao ameridhishwa nao
"wale watu ambao wako duniani ambao Mungu ameridhishwa nao basi wawe na amani"