# idadi kubwa, ya jeshi la mbinguni Neno "jeshi la mbinguni" hapa itarerejea kwenye jeshi halisi la malaika, au inawezakuwa sitiari kwaajili kikundi cha malaika kilicho andaliwa. NI: "kundi kubwa la malaika kutoka mbinguni." (UDB) # kumsifu Mungu "kumpa sifa Mungu" # Utukufu kwa Mungu juu sana Maana zinazowezekana ni 1) "Toa heshima kwa Mungu aliye mahali pa juu sana" au 2) "Toa heshima ya juu sana kwa Mungu." # hapa duniani iweze kuwa amani kati ya watu ambao ameridhishwa nao "wale watu ambao wako duniani ambao Mungu ameridhishwa nao basi wawe na amani"