sw_tn/luk/02/13.md

570 B

idadi kubwa, ya jeshi la mbinguni

Neno "jeshi la mbinguni" hapa itarerejea kwenye jeshi halisi la malaika, au inawezakuwa sitiari kwaajili kikundi cha malaika kilicho andaliwa. NI: "kundi kubwa la malaika kutoka mbinguni." (UDB)

kumsifu Mungu

"kumpa sifa Mungu"

Utukufu kwa Mungu juu sana

Maana zinazowezekana ni 1) "Toa heshima kwa Mungu aliye mahali pa juu sana" au 2) "Toa heshima ya juu sana kwa Mungu."

hapa duniani iweze kuwa amani kati ya watu ambao ameridhishwa nao

"wale watu ambao wako duniani ambao Mungu ameridhishwa nao basi wawe na amani"