sw_tn/luk/02/04.md

1.0 KiB

Maelezo kwa ujumla

UDB inaweka sawa hii mistari miwili kuwa daraja ambalo litatengeneza urahisi wa kufupisha sentensi.

pia Yusufu

Hii inamtambulisha Yusufu kama mhusika mpya katika simulizi.

kwenye mji wa Daudi

Taarifa hizi zilizotangulia kuhusu umhimu wa wa Bethlehemu. Ingawa ulikuwa mji mdogo, Mfalme Daudi alizaliwa pale, na ulikuwapo unabii kwamba masihi atazaliwa pale. NI: ambao ulikuwa unaitwa mji wa Daudi"

kwa sababu alikuwa wa nyumba na familia ya Daudi

"kwa sababu Yusufu alikuwa wa uzao wa Daudi"

Kuandikisha

Hii inamaanisha kutaarifu kwa afisa kule hivyo wamhusishe naye kwenye wajibu. Tumia kauli kwaajili ya afisa mwandikishaji wa serikali ikiwezekana.

pamoja na Mariamu

Mariamu alisafiri pamoja na Yusufu kutoka Nazarethi. Ni wazi kwamba wanawake pia walihitajika, hivyo Mariamu angelihitaji kusafiri na kuandikishwa vile vile.

ambaye alikuwa kaposwa naye

"mchumba wake" au "aliyekuwa ameahidi kwake." Wachumba walihesabiwa kisheria wameoana, lakini pale isingelikuwa kukaribiana kimwili kati yao.