sw_tn/luk/02/04.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
UDB inaweka sawa hii mistari miwili kuwa daraja ambalo litatengeneza urahisi wa kufupisha sentensi.
# pia Yusufu
Hii inamtambulisha Yusufu kama mhusika mpya katika simulizi.
# kwenye mji wa Daudi
Taarifa hizi zilizotangulia kuhusu umhimu wa wa Bethlehemu. Ingawa ulikuwa mji mdogo, Mfalme Daudi alizaliwa pale, na ulikuwapo unabii kwamba masihi atazaliwa pale. NI: ambao ulikuwa unaitwa mji wa Daudi"
# kwa sababu alikuwa wa nyumba na familia ya Daudi
"kwa sababu Yusufu alikuwa wa uzao wa Daudi"
# Kuandikisha
Hii inamaanisha kutaarifu kwa afisa kule hivyo wamhusishe naye kwenye wajibu. Tumia kauli kwaajili ya afisa mwandikishaji wa serikali ikiwezekana.
# pamoja na Mariamu
Mariamu alisafiri pamoja na Yusufu kutoka Nazarethi. Ni wazi kwamba wanawake pia walihitajika, hivyo Mariamu angelihitaji kusafiri na kuandikishwa vile vile.
# ambaye alikuwa kaposwa naye
"mchumba wake" au "aliyekuwa ameahidi kwake." Wachumba walihesabiwa kisheria wameoana, lakini pale isingelikuwa kukaribiana kimwili kati yao.