# Maelezo kwa ujumla UDB inaweka sawa hii mistari miwili kuwa daraja ambalo litatengeneza urahisi wa kufupisha sentensi. # pia Yusufu Hii inamtambulisha Yusufu kama mhusika mpya katika simulizi. # kwenye mji wa Daudi Taarifa hizi zilizotangulia kuhusu umhimu wa wa Bethlehemu. Ingawa ulikuwa mji mdogo, Mfalme Daudi alizaliwa pale, na ulikuwapo unabii kwamba masihi atazaliwa pale. NI: ambao ulikuwa unaitwa mji wa Daudi" # kwa sababu alikuwa wa nyumba na familia ya Daudi "kwa sababu Yusufu alikuwa wa uzao wa Daudi" # Kuandikisha Hii inamaanisha kutaarifu kwa afisa kule hivyo wamhusishe naye kwenye wajibu. Tumia kauli kwaajili ya afisa mwandikishaji wa serikali ikiwezekana. # pamoja na Mariamu Mariamu alisafiri pamoja na Yusufu kutoka Nazarethi. Ni wazi kwamba wanawake pia walihitajika, hivyo Mariamu angelihitaji kusafiri na kuandikishwa vile vile. # ambaye alikuwa kaposwa naye "mchumba wake" au "aliyekuwa ameahidi kwake." Wachumba walihesabiwa kisheria wameoana, lakini pale isingelikuwa kukaribiana kimwili kati yao.