sw_tn/luk/01/80.md

28 lines
699 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla:
Hii inatuambia kwa kifupi kuhusu miaka ya Yohana kuongezeka.
# Sasa
Neno hili linatumika hapa kuonesha kituo kwenye mfululizo wa habari kuu. Luka anahama kwa haraka kutoka kuzaliwa kwa Yohana kwenda kwenye huduma yake.
# kuwa na nguvu katika roho
"kukomaa kiroho" au "kuimarisha uhusiano na Mungu"
# alikuwa katika mwitu
"aliishi katika mwitu." Luka hasemi katika umri gani Yohana alianza kuishi mwituni.
# mpaka
Hii siyo lazima kuonesha hoja ya kumalizia. Yohana anaendelea kuishi katika pori hata baada ya kuanza kuhubiri hadharani.
# siku ya kujitokeza kwake
"alipoanza kuhubiri hadharani"
# siku
Hii ilitumika hapa katika dhana ya jumla ya "wakati" au "fursa"