sw_tn/luk/01/80.md

699 B

Maelezo kwa ujumla:

Hii inatuambia kwa kifupi kuhusu miaka ya Yohana kuongezeka.

Sasa

Neno hili linatumika hapa kuonesha kituo kwenye mfululizo wa habari kuu. Luka anahama kwa haraka kutoka kuzaliwa kwa Yohana kwenda kwenye huduma yake.

kuwa na nguvu katika roho

"kukomaa kiroho" au "kuimarisha uhusiano na Mungu"

alikuwa katika mwitu

"aliishi katika mwitu." Luka hasemi katika umri gani Yohana alianza kuishi mwituni.

mpaka

Hii siyo lazima kuonesha hoja ya kumalizia. Yohana anaendelea kuishi katika pori hata baada ya kuanza kuhubiri hadharani.

siku ya kujitokeza kwake

"alipoanza kuhubiri hadharani"

siku

Hii ilitumika hapa katika dhana ya jumla ya "wakati" au "fursa"