sw_tn/luk/01/72.md

1.0 KiB

kuonesha rehema

"kuwa na huruma kwa" au "kutenda kutokana na rehema yake kwao"

kumbuka

Hapa neno "kumbuka" linamaana kuendelea kujitoa au kukamilisha kitu fulani.

agano lake takatifu ... kiapo ambacho alikisema

Kauli hizi mbili zinarejea kwenye kitu kile kile. Zimerudiwa kuonesha kujali kwa Mungu juu ya ahadi kwa Abrahamu.

kutoa idhini kwetu

"kufanya iwezekane kwaajili yetu"

kwamba sisi, tumekombolewa ... tumtumikie yeye bila hofu

Inaweza ikasaidia kubadili mtindo wa kauli hizi. NI: "kwmba tungelimtumikia yeye bila bila hofu baada sisi kuokolewa kutoka katika nguvu za adui wetu."

kutoka katika mkono wa adui zetu

"mkono" inarejea kudhibiti au nguvu ya mtu. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "kutoka katika udhibiti wa adui zetu."

bila hofu

Hii inarejerea nyuma kwenye hofu ya adui zao. NI: "bila kuwaogopa adui zetu"

katika utakatifu na haki

Hizi zinaweza kudhihirishwa kama matendo. NI: "kuishi katika njia safi na kutenda haki"

mbele yake

Nahau hii ambayo inamaanisha "katika uwepo wake"