sw_tn/luk/01/72.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kuonesha rehema
"kuwa na huruma kwa" au "kutenda kutokana na rehema yake kwao"
# kumbuka
Hapa neno "kumbuka" linamaana kuendelea kujitoa au kukamilisha kitu fulani.
# agano lake takatifu ... kiapo ambacho alikisema
Kauli hizi mbili zinarejea kwenye kitu kile kile. Zimerudiwa kuonesha kujali kwa Mungu juu ya ahadi kwa Abrahamu.
# kutoa idhini kwetu
"kufanya iwezekane kwaajili yetu"
# kwamba sisi, tumekombolewa ... tumtumikie yeye bila hofu
Inaweza ikasaidia kubadili mtindo wa kauli hizi. NI: "kwmba tungelimtumikia yeye bila bila hofu baada sisi kuokolewa kutoka katika nguvu za adui wetu."
# kutoka katika mkono wa adui zetu
"mkono" inarejea kudhibiti au nguvu ya mtu. Hii inaweza kusemwa wazi. NI: "kutoka katika udhibiti wa adui zetu."
# bila hofu
Hii inarejerea nyuma kwenye hofu ya adui zao. NI: "bila kuwaogopa adui zetu"
# katika utakatifu na haki
Hizi zinaweza kudhihirishwa kama matendo. NI: "kuishi katika njia safi na kutenda haki"
# mbele yake
Nahau hii ambayo inamaanisha "katika uwepo wake"