sw_tn/luk/01/69.md

1.2 KiB

pembe ya wokovu kwaajili yetu

pembe ya mnyama ni mfano kwaajili ya nguvu zake kujitetea yenyewe. Maana hii isemwe wazi. NI: "mtu fulani mwenye nguvu kutuokoa sisi."

ndani ya nyumba ya mtumishi wake Daudi

"Nyumba" ya Daudi inawasilisha familia yake, hasa, ukoo wake, NI: "katika familia ya mtumishi wake Daudi" au "ambaye ni ukoo wa mtumishi wake Daudi"

kama alivyosema

"kama tu Mungu alivyosema"

alisema kwa kinywa cha manabii wake watakatifu

Mungu aliwawezesha manabii kuzungumza neno alilotaka wao wazungumze. udhibiti wa Mungu unaweza kusemwa NI: "alisababisha manabii wake watakatifu kusema."

kwa mdomo wa

Hii inazungumzia ujumbe wa manabii kama ilikuwa midomo inasema maneno NI: "kwenye maneno ya"

walikuwapo katika ulimwengu wa kale

"waliishi zamani"

kuleta wokovu

Hii inarejea kwenye wokovu wa mwili, zaidi kuliko wokovu wa kiroho.

adui zetu ... wote wanaotuchukia

Hizi kauli mbili kimsingi zinamaanisha jambo lilelile na zimerudiwa kusisitiza jinsi adui zao walivyokuwa na nguvu kinyume chao.

kutoka katika mkononi mwa

Itakuwa ni msaada kusema tena "wokovu" hapa. NI: "wokovu kutokana na mkono wa."

mkono

"nguvu" au "udhibiti." Neno "mkono" linakwenda pamoja na nguvu ambazo zinatumika kuwaumiza watu wa Mungu