# pembe ya wokovu kwaajili yetu pembe ya mnyama ni mfano kwaajili ya nguvu zake kujitetea yenyewe. Maana hii isemwe wazi. NI: "mtu fulani mwenye nguvu kutuokoa sisi." # ndani ya nyumba ya mtumishi wake Daudi "Nyumba" ya Daudi inawasilisha familia yake, hasa, ukoo wake, NI: "katika familia ya mtumishi wake Daudi" au "ambaye ni ukoo wa mtumishi wake Daudi" # kama alivyosema "kama tu Mungu alivyosema" # alisema kwa kinywa cha manabii wake watakatifu Mungu aliwawezesha manabii kuzungumza neno alilotaka wao wazungumze. udhibiti wa Mungu unaweza kusemwa NI: "alisababisha manabii wake watakatifu kusema." # kwa mdomo wa Hii inazungumzia ujumbe wa manabii kama ilikuwa midomo inasema maneno NI: "kwenye maneno ya" # walikuwapo katika ulimwengu wa kale "waliishi zamani" # kuleta wokovu Hii inarejea kwenye wokovu wa mwili, zaidi kuliko wokovu wa kiroho. # adui zetu ... wote wanaotuchukia Hizi kauli mbili kimsingi zinamaanisha jambo lilelile na zimerudiwa kusisitiza jinsi adui zao walivyokuwa na nguvu kinyume chao. # kutoka katika mkononi mwa Itakuwa ni msaada kusema tena "wokovu" hapa. NI: "wokovu kutokana na mkono wa." # mkono "nguvu" au "udhibiti." Neno "mkono" linakwenda pamoja na nguvu ambazo zinatumika kuwaumiza watu wa Mungu