sw_tn/luk/01/69.md

40 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# pembe ya wokovu kwaajili yetu
pembe ya mnyama ni mfano kwaajili ya nguvu zake kujitetea yenyewe. Maana hii isemwe wazi. NI: "mtu fulani mwenye nguvu kutuokoa sisi."
# ndani ya nyumba ya mtumishi wake Daudi
"Nyumba" ya Daudi inawasilisha familia yake, hasa, ukoo wake, NI: "katika familia ya mtumishi wake Daudi" au "ambaye ni ukoo wa mtumishi wake Daudi"
# kama alivyosema
"kama tu Mungu alivyosema"
# alisema kwa kinywa cha manabii wake watakatifu
Mungu aliwawezesha manabii kuzungumza neno alilotaka wao wazungumze. udhibiti wa Mungu unaweza kusemwa NI: "alisababisha manabii wake watakatifu kusema."
# kwa mdomo wa
Hii inazungumzia ujumbe wa manabii kama ilikuwa midomo inasema maneno NI: "kwenye maneno ya"
# walikuwapo katika ulimwengu wa kale
"waliishi zamani"
# kuleta wokovu
Hii inarejea kwenye wokovu wa mwili, zaidi kuliko wokovu wa kiroho.
# adui zetu ... wote wanaotuchukia
Hizi kauli mbili kimsingi zinamaanisha jambo lilelile na zimerudiwa kusisitiza jinsi adui zao walivyokuwa na nguvu kinyume chao.
# kutoka katika mkononi mwa
Itakuwa ni msaada kusema tena "wokovu" hapa. NI: "wokovu kutokana na mkono wa."
# mkono
"nguvu" au "udhibiti." Neno "mkono" linakwenda pamoja na nguvu ambazo zinatumika kuwaumiza watu wa Mungu