sw_tn/luk/01/59.md

24 lines
646 B
Markdown

# Sasa ilitokea katika hiyo siku ya nane
"Sasa wakati mtoto akiwa na siku nane" au NI: "Ndipo, siku ya nane baada ya mtoto kuzaliwa"
# wao
Hii huenda wanarejea kwa Zakaria na rafiki na ndugu wa Elizabethi.
# kumtahiri mtoto
Hii ilikuwa sherehe ya kawaida wakati mtu alipokuwa anamtahiri mtoto rafiki zake wapaswa kuwa hapo kusherehekea pamoja na hiyo Familiya. NI: "sherehe kwaajili ya kutahiriwa kwa mtoto."
# Wangeliweza kumwita yeye
"Walikuwa wanaenda kumwita yeye" au "Walitaka kumwita yeye jina." Hii ilikuwa desturi ya kawaida.
# kama jina la baba yake
"jina la baba yake"
# kwa jina hili
"kwa jina hilo" au "kwa jina lilelile"