# Sasa ilitokea katika hiyo siku ya nane "Sasa wakati mtoto akiwa na siku nane" au NI: "Ndipo, siku ya nane baada ya mtoto kuzaliwa" # wao Hii huenda wanarejea kwa Zakaria na rafiki na ndugu wa Elizabethi. # kumtahiri mtoto Hii ilikuwa sherehe ya kawaida wakati mtu alipokuwa anamtahiri mtoto rafiki zake wapaswa kuwa hapo kusherehekea pamoja na hiyo Familiya. NI: "sherehe kwaajili ya kutahiriwa kwa mtoto." # Wangeliweza kumwita yeye "Walikuwa wanaenda kumwita yeye" au "Walitaka kumwita yeye jina." Hii ilikuwa desturi ya kawaida. # kama jina la baba yake "jina la baba yake" # kwa jina hili "kwa jina hilo" au "kwa jina lilelile"