sw_tn/luk/01/59.md

646 B

Sasa ilitokea katika hiyo siku ya nane

"Sasa wakati mtoto akiwa na siku nane" au NI: "Ndipo, siku ya nane baada ya mtoto kuzaliwa"

wao

Hii huenda wanarejea kwa Zakaria na rafiki na ndugu wa Elizabethi.

kumtahiri mtoto

Hii ilikuwa sherehe ya kawaida wakati mtu alipokuwa anamtahiri mtoto rafiki zake wapaswa kuwa hapo kusherehekea pamoja na hiyo Familiya. NI: "sherehe kwaajili ya kutahiriwa kwa mtoto."

Wangeliweza kumwita yeye

"Walikuwa wanaenda kumwita yeye" au "Walitaka kumwita yeye jina." Hii ilikuwa desturi ya kawaida.

kama jina la baba yake

"jina la baba yake"

kwa jina hili

"kwa jina hilo" au "kwa jina lilelile"