sw_tn/luk/01/54.md

751 B

Maelezo kwa ujumla

UDB inarekebisha mistari hii kuwa daraja ili kutunza kwa pamoja taarifa zinazohusu Israeli.

ametoa msaada kwa

"Bwana amesaidia"

Israeli mtumishi wangu

Kama wasomaji watachanganya hiki na mtu anayeitwa Israeli, itatafsiriwa kama "mtumishi wake, taifa la Israeli" au "Israeli, mtumishi wake."

Hivyo kama vile

"ili kwamba"

kukumbuka

Mungu hawezi kusahau. Ambapo Mungu "hukumbuka," hii nahau inayomaanisha Mungu anatenda kutokana na ahadi yake aliyotoa mapema.

kama alivyosema kwa baba zetu

"hakika kama alivyoahidi kwa wahenga wetu angelifanya." "Kauli hii inaleta taarifa ya nyuma ahadi ya Mungu kwa Abrahamu." NI: "kwa sababu aliahidi kwa wahenga wetu angelikuwa na rehema."

uzao wake

"wazawa wa Abrahamu"