# Maelezo kwa ujumla UDB inarekebisha mistari hii kuwa daraja ili kutunza kwa pamoja taarifa zinazohusu Israeli. # ametoa msaada kwa "Bwana amesaidia" # Israeli mtumishi wangu Kama wasomaji watachanganya hiki na mtu anayeitwa Israeli, itatafsiriwa kama "mtumishi wake, taifa la Israeli" au "Israeli, mtumishi wake." # Hivyo kama vile "ili kwamba" # kukumbuka Mungu hawezi kusahau. Ambapo Mungu "hukumbuka," hii nahau inayomaanisha Mungu anatenda kutokana na ahadi yake aliyotoa mapema. # kama alivyosema kwa baba zetu "hakika kama alivyoahidi kwa wahenga wetu angelifanya." "Kauli hii inaleta taarifa ya nyuma ahadi ya Mungu kwa Abrahamu." NI: "kwa sababu aliahidi kwa wahenga wetu angelikuwa na rehema." # uzao wake "wazawa wa Abrahamu"