sw_tn/luk/01/50.md

20 lines
484 B
Markdown

# Rehema Yake
"rehema ya Mungu"
# tokea kizazi kwenda kizazi
"kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kinachofuata" au "kupitia kila kizazi" au "kwa watu wa kila majira"
# alionesha nguvu kwa mkono wake
"mkono wake" ni lugha picha inayorejea mkono wa nguvu wa Mungu. NI: inaonesha kwamba Yeye ananguvu sana."
# tawanyika
"fukuza katika uelekeo mbalimbali"
# mawazo ya mioyo yao
"moyo" ni nahau ambayo inarejea kwenye mawazo ya mtu ya ndani. NI: "mawazo katika utu wao wa ndani."