sw_tn/luk/01/50.md

484 B

Rehema Yake

"rehema ya Mungu"

tokea kizazi kwenda kizazi

"kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kinachofuata" au "kupitia kila kizazi" au "kwa watu wa kila majira"

alionesha nguvu kwa mkono wake

"mkono wake" ni lugha picha inayorejea mkono wa nguvu wa Mungu. NI: inaonesha kwamba Yeye ananguvu sana."

tawanyika

"fukuza katika uelekeo mbalimbali"

mawazo ya mioyo yao

"moyo" ni nahau ambayo inarejea kwenye mawazo ya mtu ya ndani. NI: "mawazo katika utu wao wa ndani."