# Rehema Yake "rehema ya Mungu" # tokea kizazi kwenda kizazi "kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kinachofuata" au "kupitia kila kizazi" au "kwa watu wa kila majira" # alionesha nguvu kwa mkono wake "mkono wake" ni lugha picha inayorejea mkono wa nguvu wa Mungu. NI: inaonesha kwamba Yeye ananguvu sana." # tawanyika "fukuza katika uelekeo mbalimbali" # mawazo ya mioyo yao "moyo" ni nahau ambayo inarejea kwenye mawazo ya mtu ya ndani. NI: "mawazo katika utu wao wa ndani."