sw_tn/luk/01/36.md

1.3 KiB

Na anglia

Huu udhihirisho hapa unasisitiza umhimu wa kauli inayomhusu Elizabeth ambayo inafuata.

ndugu yako Elizabeth

Kama unataka kusema uhusiano maalumu, Elizabeth huenda alikuwa shangazi wa Mariamu au shangazi - mkubwa.

pia anaujauzito wa uzeeni mwake

"pia anaujauzito, ingawa tayari kazeeka, pia mjamzito na atazaa mtoto." Hakikisha haieleweki kama ingawa wawili Mariamu na Elizabethi walikuwa wazee walipopata ujauzito.

mwezi wa sita kwake

"mwezi wa sita wa ujauzito wake"

Kwaajili

Kwa sababu" au "Hii inaonesha hivyo"

hakuna lisilowezekana kwa Mungu

Kauli yake inamashaka maradufu inaweza kutamkwa kwa kauli chanya. NI: "Hii inaonesha Mungu anaweza kufanya kitu chochote." Ujauzito wa Elizabethi ulithibitisha kwamba Mungu anaweza kufanya lolote - hata kumwezesha Mariamu kuwa mjamzito bila kushiriki na mwanaume.

Tazama

Mariamu anatumia udhihirisho huo huo kama malaika kusisitiza jinsi alivyokuwa anajali kuhusu uamzi wake kujikabidhi kwa Bwana.

Mimi ni mtumishi wa kike wa Bwana

Chagua udhihirisho ambao unaonesha unyenyekevu na utii kwa Bwana. Yeye alikuwa hajiinui juu ya kuwa mtumishi wa Bwana.

Acha hii itokee kwangu

"Acha hii itokee kwangu." Mariamu alikuwa anadhihirisha utayari wake kwa mambo yatakayo tokea kwamba malaika alishamwambia yalikuwa karibu yatokee.