# Na anglia Huu udhihirisho hapa unasisitiza umhimu wa kauli inayomhusu Elizabeth ambayo inafuata. # ndugu yako Elizabeth Kama unataka kusema uhusiano maalumu, Elizabeth huenda alikuwa shangazi wa Mariamu au shangazi - mkubwa. # pia anaujauzito wa uzeeni mwake "pia anaujauzito, ingawa tayari kazeeka, pia mjamzito na atazaa mtoto." Hakikisha haieleweki kama ingawa wawili Mariamu na Elizabethi walikuwa wazee walipopata ujauzito. # mwezi wa sita kwake "mwezi wa sita wa ujauzito wake" # Kwaajili Kwa sababu" au "Hii inaonesha hivyo" # hakuna lisilowezekana kwa Mungu Kauli yake inamashaka maradufu inaweza kutamkwa kwa kauli chanya. NI: "Hii inaonesha Mungu anaweza kufanya kitu chochote." Ujauzito wa Elizabethi ulithibitisha kwamba Mungu anaweza kufanya lolote - hata kumwezesha Mariamu kuwa mjamzito bila kushiriki na mwanaume. # Tazama Mariamu anatumia udhihirisho huo huo kama malaika kusisitiza jinsi alivyokuwa anajali kuhusu uamzi wake kujikabidhi kwa Bwana. # Mimi ni mtumishi wa kike wa Bwana Chagua udhihirisho ambao unaonesha unyenyekevu na utii kwa Bwana. Yeye alikuwa hajiinui juu ya kuwa mtumishi wa Bwana. # Acha hii itokee kwangu "Acha hii itokee kwangu." Mariamu alikuwa anadhihirisha utayari wake kwa mambo yatakayo tokea kwamba malaika alishamwambia yalikuwa karibu yatokee.