sw_tn/luk/01/36.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Na anglia
Huu udhihirisho hapa unasisitiza umhimu wa kauli inayomhusu Elizabeth ambayo inafuata.
# ndugu yako Elizabeth
Kama unataka kusema uhusiano maalumu, Elizabeth huenda alikuwa shangazi wa Mariamu au shangazi - mkubwa.
# pia anaujauzito wa uzeeni mwake
"pia anaujauzito, ingawa tayari kazeeka, pia mjamzito na atazaa mtoto." Hakikisha haieleweki kama ingawa wawili Mariamu na Elizabethi walikuwa wazee walipopata ujauzito.
# mwezi wa sita kwake
"mwezi wa sita wa ujauzito wake"
# Kwaajili
Kwa sababu" au "Hii inaonesha hivyo"
# hakuna lisilowezekana kwa Mungu
Kauli yake inamashaka maradufu inaweza kutamkwa kwa kauli chanya. NI: "Hii inaonesha Mungu anaweza kufanya kitu chochote." Ujauzito wa Elizabethi ulithibitisha kwamba Mungu anaweza kufanya lolote - hata kumwezesha Mariamu kuwa mjamzito bila kushiriki na mwanaume.
# Tazama
Mariamu anatumia udhihirisho huo huo kama malaika kusisitiza jinsi alivyokuwa anajali kuhusu uamzi wake kujikabidhi kwa Bwana.
# Mimi ni mtumishi wa kike wa Bwana
Chagua udhihirisho ambao unaonesha unyenyekevu na utii kwa Bwana. Yeye alikuwa hajiinui juu ya kuwa mtumishi wa Bwana.
# Acha hii itokee kwangu
"Acha hii itokee kwangu." Mariamu alikuwa anadhihirisha utayari wake kwa mambo yatakayo tokea kwamba malaika alishamwambia yalikuwa karibu yatokee.