sw_tn/luk/01/26.md

44 lines
1.3 KiB
Markdown

# Taarifa kwa Jumla
Malaika Gabrieli anamtangazia Mariamu kwamba anakwenda kuwa mama wa mtu ambaye ni Mwana wa Mungu.
# kwenye mwezi wake wa sita
"katika mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeth." Hii ilikuwa lazima kulisema wazi kama ingelichanganya na mwezi wa sita katika mwaka.
# malaika Gabrieli alikuwa katumwa kutokea kwa Mungu
Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa kutenda: NI: "Mungu alimwambia malaika Gabrieli nenda"
# Yeye ni wa nyumba ya Daudi
"Yeye niwa kabila lilelile kama Daudi" au "Yeye alikuwa ukoo Mfalme Daudi" (UDB)
# kaposwa
"rehani" au "kuahidiwa kuolewa." wazazi wa Mariamu waliweka msimamo kwaajili yake atamwoa Yusufu.
# jina la bikra alikuwa Mariamu
Hii inamtambulisha Mariamu kama mhusika mpya katika simulizi.
# Alikuja kwake
"Malaika alikuja kwa Mariamu"
# Salaamu
Hii ilikuwa ni salamu ya kawaida. Inamaana: NI: "furahia" au "uwe na furaha."
# ninyi ambao mnaupedeleo mkubwa
"ninyi ambao mmepokea neema kubwa!" au "ninyi mmepokea wema maalumu!"
# Bwana yuko pamoja na wewe
"pamoja nawe" ni nahau ambayo inadokeza kutiwa moyo na kukubalika. NI: "Bwana kafurahishwa na wewe."
# alikuwa na wasiwasi sana ... salamu hii ingekuwa ya aina gani.
Mariamu alifahamu maana ya maneno hayo, lakini hakuelewa kwanini malaika alimwambia salaamu hii ya kushangaza.