# Taarifa kwa Jumla Malaika Gabrieli anamtangazia Mariamu kwamba anakwenda kuwa mama wa mtu ambaye ni Mwana wa Mungu. # kwenye mwezi wake wa sita "katika mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeth." Hii ilikuwa lazima kulisema wazi kama ingelichanganya na mwezi wa sita katika mwaka. # malaika Gabrieli alikuwa katumwa kutokea kwa Mungu Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa kutenda: NI: "Mungu alimwambia malaika Gabrieli nenda" # Yeye ni wa nyumba ya Daudi "Yeye niwa kabila lilelile kama Daudi" au "Yeye alikuwa ukoo Mfalme Daudi" (UDB) # kaposwa "rehani" au "kuahidiwa kuolewa." wazazi wa Mariamu waliweka msimamo kwaajili yake atamwoa Yusufu. # jina la bikra alikuwa Mariamu Hii inamtambulisha Mariamu kama mhusika mpya katika simulizi. # Alikuja kwake "Malaika alikuja kwa Mariamu" # Salaamu Hii ilikuwa ni salamu ya kawaida. Inamaana: NI: "furahia" au "uwe na furaha." # ninyi ambao mnaupedeleo mkubwa "ninyi ambao mmepokea neema kubwa!" au "ninyi mmepokea wema maalumu!" # Bwana yuko pamoja na wewe "pamoja nawe" ni nahau ambayo inadokeza kutiwa moyo na kukubalika. NI: "Bwana kafurahishwa na wewe." # alikuwa na wasiwasi sana ... salamu hii ingekuwa ya aina gani. Mariamu alifahamu maana ya maneno hayo, lakini hakuelewa kwanini malaika alimwambia salaamu hii ya kushangaza.