sw_tn/luk/01/26.md

1.3 KiB

Taarifa kwa Jumla

Malaika Gabrieli anamtangazia Mariamu kwamba anakwenda kuwa mama wa mtu ambaye ni Mwana wa Mungu.

kwenye mwezi wake wa sita

"katika mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeth." Hii ilikuwa lazima kulisema wazi kama ingelichanganya na mwezi wa sita katika mwaka.

malaika Gabrieli alikuwa katumwa kutokea kwa Mungu

Hii inaweza kusemwa kwenye mtindo wa kutenda: NI: "Mungu alimwambia malaika Gabrieli nenda"

Yeye ni wa nyumba ya Daudi

"Yeye niwa kabila lilelile kama Daudi" au "Yeye alikuwa ukoo Mfalme Daudi" (UDB)

kaposwa

"rehani" au "kuahidiwa kuolewa." wazazi wa Mariamu waliweka msimamo kwaajili yake atamwoa Yusufu.

jina la bikra alikuwa Mariamu

Hii inamtambulisha Mariamu kama mhusika mpya katika simulizi.

Alikuja kwake

"Malaika alikuja kwa Mariamu"

Salaamu

Hii ilikuwa ni salamu ya kawaida. Inamaana: NI: "furahia" au "uwe na furaha."

ninyi ambao mnaupedeleo mkubwa

"ninyi ambao mmepokea neema kubwa!" au "ninyi mmepokea wema maalumu!"

Bwana yuko pamoja na wewe

"pamoja nawe" ni nahau ambayo inadokeza kutiwa moyo na kukubalika. NI: "Bwana kafurahishwa na wewe."

alikuwa na wasiwasi sana ... salamu hii ingekuwa ya aina gani.

Mariamu alifahamu maana ya maneno hayo, lakini hakuelewa kwanini malaika alimwambia salaamu hii ya kushangaza.