sw_tn/luk/01/24.md

790 B

Baada ya siku hizi

Kauli "siku hizi" inarejea wakati Zakaria alikuwa anatumika hekaluni. Hii inawezekana kulisema hili kwa uwazi. NI: "Baada ya Zakaria kurudi nyumbani tokea kwenye huduma hekaluni."

mke wake

"mke wa Zakaria"

alijitenga mwenyewe

"hakuondoka nyumbani kwake" au "alibaki peke yake ndani"

Hiki ndicho alichokifanya Bwana kwaajili yangu

Kauli hii inarejea ukweli kwamba Bwana alimruhusu apate ujauzito.

hiki ndicho

Hili ni tamko zuri la mshangao. Yeye alikuwa na furaha sana kwa kile alichokitenda Bwana kwaajili yake.

aliniangalia mimi kwa upendeleo

"Kuangalia" ni nahau ambayo inamaanisha "kutendea" au "kushughulikia." NI: "tazama kwa wema" au "alinihurumia"

aibu yangu

Hii inarejea kwenye aibu aliyoihisi kwa sababu alikuwa hawezi kuwa na watoto.