sw_tn/luk/01/24.md

28 lines
790 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Baada ya siku hizi
Kauli "siku hizi" inarejea wakati Zakaria alikuwa anatumika hekaluni. Hii inawezekana kulisema hili kwa uwazi. NI: "Baada ya Zakaria kurudi nyumbani tokea kwenye huduma hekaluni."
# mke wake
"mke wa Zakaria"
# alijitenga mwenyewe
"hakuondoka nyumbani kwake" au "alibaki peke yake ndani"
# Hiki ndicho alichokifanya Bwana kwaajili yangu
Kauli hii inarejea ukweli kwamba Bwana alimruhusu apate ujauzito.
# hiki ndicho
Hili ni tamko zuri la mshangao. Yeye alikuwa na furaha sana kwa kile alichokitenda Bwana kwaajili yake.
# aliniangalia mimi kwa upendeleo
"Kuangalia" ni nahau ambayo inamaanisha "kutendea" au "kushughulikia." NI: "tazama kwa wema" au "alinihurumia"
# aibu yangu
Hii inarejea kwenye aibu aliyoihisi kwa sababu alikuwa hawezi kuwa na watoto.