sw_tn/lev/27/24.md

24 lines
878 B
Markdown

# mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa ... mmiliki wa ardhi
Virai hivi viwili humrejelea mtu yule yule. Kwa kawaida ardhi ingenunuliwa kutoka kwa mmiliki wake.
# mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu aliyeliuza"
# Tathmani yote lazima ifanywe
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kuahani ataamua ukadiliaji wa thamani"
# kwa uzani wa shekeli ya mahali pa patakatifu
Kulikuwa na shekeli za vipimo mbali mbali. Hiki kilikuwa ni kimojawapo ambacho watu ilikuwa watumie ndani ya hema takatifu.
# Gera ishirini kwa shekeli moja.
Kusudi la sentensi hii ni kutamka ni kiasi gani shekeli ya patakatifu hupimwa. Gera ilikuwa ni uzani mdogo sana wa kipimo walichotumia Waisraeli: "Sharti shekeli moja iwe sawasawa na gera ishirini"
# Gera ishirini kwa shekeli moja.
: "Shekeli moja yapasa ipime gramu kumi"