# mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa ... mmiliki wa ardhi Virai hivi viwili humrejelea mtu yule yule. Kwa kawaida ardhi ingenunuliwa kutoka kwa mmiliki wake. # mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu aliyeliuza" # Tathmani yote lazima ifanywe Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kuahani ataamua ukadiliaji wa thamani" # kwa uzani wa shekeli ya mahali pa patakatifu Kulikuwa na shekeli za vipimo mbali mbali. Hiki kilikuwa ni kimojawapo ambacho watu ilikuwa watumie ndani ya hema takatifu. # Gera ishirini kwa shekeli moja. Kusudi la sentensi hii ni kutamka ni kiasi gani shekeli ya patakatifu hupimwa. Gera ilikuwa ni uzani mdogo sana wa kipimo walichotumia Waisraeli: "Sharti shekeli moja iwe sawasawa na gera ishirini" # Gera ishirini kwa shekeli moja. : "Shekeli moja yapasa ipime gramu kumi"