sw_tn/lev/27/24.md

878 B

mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa ... mmiliki wa ardhi

Virai hivi viwili humrejelea mtu yule yule. Kwa kawaida ardhi ingenunuliwa kutoka kwa mmiliki wake.

mtu yule ambaye lilikuwa limenunuliwa

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu aliyeliuza"

Tathmani yote lazima ifanywe

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kuahani ataamua ukadiliaji wa thamani"

kwa uzani wa shekeli ya mahali pa patakatifu

Kulikuwa na shekeli za vipimo mbali mbali. Hiki kilikuwa ni kimojawapo ambacho watu ilikuwa watumie ndani ya hema takatifu.

Gera ishirini kwa shekeli moja.

Kusudi la sentensi hii ni kutamka ni kiasi gani shekeli ya patakatifu hupimwa. Gera ilikuwa ni uzani mdogo sana wa kipimo walichotumia Waisraeli: "Sharti shekeli moja iwe sawasawa na gera ishirini"

Gera ishirini kwa shekeli moja.

: "Shekeli moja yapasa ipime gramu kumi"