sw_tn/lev/27/22.md

19 lines
590 B
Markdown

# tenga
Ule msemo "tenga" humaanisha kutengwa kutoka kwenye kitu fula ili kutimiza kusudi fulani.
. Waisraeli walitengwa kawa ajili ya huduma
kwa Mungu.
. Roho Mtakatifu aliwaagiza Wakristo huko
Antiokia kuwatenga Paulo na Barnaba kwa
kazi ambayo Mungu aliwataka wao
waifanye
. Mwamini "aliyetengwa" kwa ajili ya huduma
kwa Mungu "kwakifishwa" kutimiza
mapenzi ya Mungu.
. maana mojawapo ya msemo "mtkatifu" ni
kutengwa kuwa Mungu na kuwa
umetengwa kutokanjia za dhambi za
ulimwengu.
. Ule msemo "takasa" humaanisha kutenga
mtu kwa ajili ya huduma ya Mungu.