sw_tn/lev/27/22.md

590 B

tenga

Ule msemo "tenga" humaanisha kutengwa kutoka kwenye kitu fula ili kutimiza kusudi fulani. . Waisraeli walitengwa kawa ajili ya huduma kwa Mungu. . Roho Mtakatifu aliwaagiza Wakristo huko Antiokia kuwatenga Paulo na Barnaba kwa kazi ambayo Mungu aliwataka wao waifanye . Mwamini "aliyetengwa" kwa ajili ya huduma kwa Mungu "kwakifishwa" kutimiza mapenzi ya Mungu. . maana mojawapo ya msemo "mtkatifu" ni kutengwa kuwa Mungu na kuwa umetengwa kutokanjia za dhambi za ulimwengu. . Ule msemo "takasa" humaanisha kutenga mtu kwa ajili ya huduma ya Mungu.