sw_tn/lev/27/16.md

16 lines
663 B
Markdown

# kiasi cha mbegu inayotakiwa kuipanda katika ardhi hiyo
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kiasi cha mbegu mtu angehitaji kupanda"
# homeri moja ya mbegu za shairi ambayo itathamanishwa
Hapa "homeri moja ya shayiri huwakilisha kipande cha ardhi ambaho kingehitaji homeri moja ya shaiyiri ili kupandwa chote. : "kipanda cha ardhi kinachohitaji kudhamanishwa kwa homeri moja ya shayiri ili kuweza kupandwa chote" au " Thamani ya ardhiinayohitaji homeri moja ya shayiri itatakiwa"
# homeri
homeri moja ni lita 220
# shekeli hamsini za fedha
"vipande hamsini vya fedha , ambavyo kila kimoja bgramu kumi" au " gramu mia tano za fedha"