sw_tn/lev/27/16.md

663 B

kiasi cha mbegu inayotakiwa kuipanda katika ardhi hiyo

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kiasi cha mbegu mtu angehitaji kupanda"

homeri moja ya mbegu za shairi ambayo itathamanishwa

Hapa "homeri moja ya shayiri huwakilisha kipande cha ardhi ambaho kingehitaji homeri moja ya shaiyiri ili kupandwa chote. : "kipanda cha ardhi kinachohitaji kudhamanishwa kwa homeri moja ya shayiri ili kuweza kupandwa chote" au " Thamani ya ardhiinayohitaji homeri moja ya shayiri itatakiwa"

homeri

homeri moja ni lita 220

shekeli hamsini za fedha

"vipande hamsini vya fedha , ambavyo kila kimoja bgramu kumi" au " gramu mia tano za fedha"