# kiasi cha mbegu inayotakiwa kuipanda katika ardhi hiyo Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "kile kiasi cha mbegu mtu angehitaji kupanda" # homeri moja ya mbegu za shairi ambayo itathamanishwa Hapa "homeri moja ya shayiri huwakilisha kipande cha ardhi ambaho kingehitaji homeri moja ya shaiyiri ili kupandwa chote. : "kipanda cha ardhi kinachohitaji kudhamanishwa kwa homeri moja ya shayiri ili kuweza kupandwa chote" au " Thamani ya ardhiinayohitaji homeri moja ya shayiri itatakiwa" # homeri homeri moja ni lita 220 # shekeli hamsini za fedha "vipande hamsini vya fedha , ambavyo kila kimoja bgramu kumi" au " gramu mia tano za fedha"