sw_tn/lev/27/07.md

16 lines
336 B
Markdown

# miaka sitini na zaidi
"umri wa miaka sitini na wazee"
# Sitin ..kumi na tano .. kumi
"60 ... 15 ... 10"
# shekeli kumi na tano
"vipande kumi na tanovya fedha" au "gramu 150 za fedha"
# huyo mtu anayetolewa lazima atapelekwa kwa kuhani
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "atampeleka kwa kuhani huyo mtu anayemtoa"