# miaka sitini na zaidi "umri wa miaka sitini na wazee" # Sitin ..kumi na tano .. kumi "60 ... 15 ... 10" # shekeli kumi na tano "vipande kumi na tanovya fedha" au "gramu 150 za fedha" # huyo mtu anayetolewa lazima atapelekwa kwa kuhani Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "atampeleka kwa kuhani huyo mtu anayemtoa"