sw_tn/lev/27/07.md

336 B

miaka sitini na zaidi

"umri wa miaka sitini na wazee"

Sitin ..kumi na tano .. kumi

"60 ... 15 ... 10"

shekeli kumi na tano

"vipande kumi na tanovya fedha" au "gramu 150 za fedha"

huyo mtu anayetolewa lazima atapelekwa kwa kuhani

Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "atampeleka kwa kuhani huyo mtu anayemtoa"