sw_tn/lev/26/44.md

16 lines
424 B
Markdown

# nitalikumbuka agano langu na baba zao
: "Nitatimiza agano langu na babu zao.
# Maelezo kwa Ujumla
Hili lina hitimisha ujumbe wa Yahweh kwa Musa katika mlima wa Sinai kuhusiana na baraka kwa utii na adhabu kwa kutotii.
# machoni pa mataifa
Hii huwakilisha ufahamu wa mataifa. ": "katika ufahamu wa mataifa" au "nayo mataifa yajue kuhusu hili"
# mataifa
Hili huwakilisha watu wa mataifa. "machoni pa watu wa mataifa"