# nitalikumbuka agano langu na baba zao : "Nitatimiza agano langu na babu zao. # Maelezo kwa Ujumla Hili lina hitimisha ujumbe wa Yahweh kwa Musa katika mlima wa Sinai kuhusiana na baraka kwa utii na adhabu kwa kutotii. # machoni pa mataifa Hii huwakilisha ufahamu wa mataifa. ": "katika ufahamu wa mataifa" au "nayo mataifa yajue kuhusu hili" # mataifa Hili huwakilisha watu wa mataifa. "machoni pa watu wa mataifa"